SIMBA YAIKWARUA JKT RUVU 3-0, YANGA YALALA KWA KAGERA SUGAR

Hii ni baada ya mechi iliyofanyika jana baada Simba kuipachika JKT Ruvu mabao matatu mtungi huku YANGA ikilala kwa KAGERA SUKARI

Wachezaji wa Simba wakishangilia juu ya ushindi wao
Timu wa Wekundu wa Msimbazi, Simba SC jana imeendelea kujikita kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuirarua JKT Ruvu kwa mabao 3-0 kwenye mchezo uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar. Huko Bukoba mkoani Kagera, mahasimu wa Simba, Yanga SC wamelala kwa bao 1-0 kutoka kwa wenyeji Kagera Sugar, katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, basi hapo simba inazidi kujiahakikishia ubingwa kwa kuwa na pointi 50.

Leave a Reply