Mkali wa mavoko toka Dar es salaam... sasa anakuja mbeya live kwenye kumsaka kimwana mrembo wa Mbeya city yaani KATIKA SHINDANO LA KUMSAKA MISS MBEYA CITY CENTER, usikose siku hiyooo. Ambayo itakuwa siku ya ijumaa tar 4/5/2012 Kwa kiingilio cha shilingi 10000/- tu!
KARIBU SANA KAKA MBEYA HII
FEEL AT HOME,Johnson is may name