Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Akutana na Viongozi Wa Kamati Za Fedha Za Umma Bungeni


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Kulia)akimsikilzia Mwenyekiti wa Kamati Ya Hesabu za Mashirika ya Umma(POAC) na Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA)Mheshimiwa Zitto Kabwe wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Mjini Dodoma.Balozi Sefue alifanya ziara Bungeni kwa lengo la Kujitambulisha



 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Kulia)akimsikilzia Makamu Mwenyekiti wa Kamati Ya Hesabu za Mashirika ya Umma(POAC)Mheshimiwa Deo Filikunjombe wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Mjini Dodoma.Balozi Sefue alifanya ziara Bungeni kwa lengo la Kujitambulisha



Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Kulia)akimsikiliza Mwenyetiki Wa Kamati ya Hesabu Za Serikali(PAC)Mheshimiwa John Cheyo wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Mjini Dodoma.Balozi Sefue alifanya ziara Bungeni kwa lengo la Kujitambulisha





Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Kulia)akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Serekali Za Mitaa(LAAC)Mheshimiwa Augustino Mrema wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Mjini Dodoma.Balozi Sefue alifanya ziara Bungeni kwa lengo la Kujitambulisha 



  Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashilila akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Kulia)wakati alipofanya ziara ya kikazi Bungeni Mjini Dodoma.Balozi Sefue alifanya ziara Bungeni kwa lengo la Kujitambulisha.Kushoto ni Msaidizi wa Katibu wa Bunge Emmanuel Mpanda Pamoja na Mkurugenzi Wa Shughuli Za Bunge John Joel.Picha na Owen Mwandumbya

Leave a Reply